Mbowe afunguka, ataja mkakati wa Ukawa kudhibiti bajeti hewa, Bunge lamaliza utata, Chadema kutoa wabunge wawili EALA, Wasira amshukia Lissu kwa mambo manne…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 3, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Mada Maugo Ataja Maadui Wa Masumbwi Ya Kulipwa
Watumiaji wa Simu hatarini kupata ugonjwa wa akili

Comments

comments