Ikulu yamtwisha ‘mzigo’ Waziri, Wizi mkubwa Dar, mwekezaji hajawahi kulipa hata mia tangu 2005, Siku 79 za Mbunge Lijualikali jera…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 31, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Zanzibar kutegua kitendawili cha tatizo la umeme
Dkt. Slaa ajitathmini, ataka kurudi nchini

Comments

comments