Leo Septemba 16, 2016 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Nne wa Bunge ambapo katika hotuba hiyo amezungumzia mambo makuu 10 ambayo ni;

  1. Tukio la janga la tetemeko la ardhi lililotokea katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa,
  2. Mwendendo na mwelekeo wa hali ya uchumi,
  3. Mwenendo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa mwezi Julai na Agosti 2016,
  4. Mpango wa Serikali wa kuhamia Dodoma,
  5. Ratiba ya Serikali kuhamia Dodoma,
  6. Sekta ya kilimo,
  7. Sekta ya ushirika,
  8. Sekta ya elimu, Uhakiki wa vyeti vya Watumishi,
  9. Jitihada za Serikali kuimarisha usafiri wa anga,
  10. Hali ya amani na utulivu nchini

Tazama hapa video

Lowassa , Maalim Seif, Sumaye kung’arisha jukwaa mechi ya Simba na Yanga
Video: Polisi Dar es salaam wakamata watuhumiwa ujambazi, mmoja mwanamke auawa

Comments

comments