Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida kuzungumzia namna ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi ya Kagera. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dares salaam leo Septemba 19, 2016.

imgs5581

imgs5573

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Japan nchini,  Masaharu Yoshida kuhusu namna  ambavyo Japan inaweza kusaidia waathika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dares salaam Septemba 19, 2016.

 

imgs5582
imgs5584
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Japan nchini,  Masaharu Yoshida kuhusu namna  ambavyo Japan inaweza kusaidia waathika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dares salaam Septemba 19, 2016. Kulia ni Mwakilishi Mkuu wa JICA nchini, Toshio Nagase.
Japan kukarabati shule zilizoharibiwa na tetemeko Kagera
Waziri Mkuu apokea misaada ya Waathirika tetemeko Kagera

Comments

comments