Huyu ndiye Chifu Mbelwa wa Wazigua, na mtawala wa kwanza wa jadi Tanzania (Tanganyika wakati huo) kusaini Mkataba na Carl Peters mwaka 1884 na kusababisha mkoa wa Tanga na eneo la bahari ya Hindi kutawaliwa na kuwa koloni la Kijerumani.

unnamed

Wakati huo Carl Peters alikuwa ni wakala wa ukoloni wa taifa la Ujerumani akitafuta makoloni katika ardhi ya Afrika kwa ajili ya nchi yake kwa kuwashawishi mababu na watawala wetu wa kijadi ili kusaini mikataba ya kilaghai.

karl-peter

Carl Peters akiwa pamoja na wenzake

AVB Kumng'oa John Terry Stamford Bridge
La Galaxy Wamuweka Njia Panda Steven Gerrard

Comments

comments