January 30, 2018 Watu wanne wamefariki Dunia katika kata ya Murieti kwenye eneo la mlima CCM baada ya kuangukiwa na maporomoko ya mawe na kufukiwa ardhini wakati walipokuwa wakichimba mchanga.

Mganga Mkuu wa jiji la Arusha Dr. Saimon Chacha amethibitisha tukio hilo nakusema miili hiyo imeondolewa katika eneo hilo nakupelekwa katika hospitali ya Mount Meru.

 

 

 

Bunge laongeza umri wa kustaafu
Nabii Tito aendelea kusota rumande