Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael Magoli (Dsm), Simon Mberwa (Pwani), Livingstone Lwiza (Kagera), Ngole Mwangole (Mbeya).

Steven Makuka (Iringa), Florentina Zabron (Dodoma), Jacob Adongo (Mara), Mathew Akrama (Mwanza) Jonesia Rukyaa (Kagera), Sophia Mtogori (Mara), Ahmad Seif (Pwani), Allawi Omary (Kigoma), Andrew Shamba (Dsm), Isihaka Shirikisho (Tanga), David Paul (Mtwara), Mohamed Theofili (Morogoro), Mary Kapinga (Rukwa), Dominic Nyamisana (Dodoma), Erick Onoka (Arusha) na Kennedy Mapunda (Dsm).

WAAMUZI WASAIDIZI LIGI KUU

Haji Mwalukita (Tanga) Julius Kasitu (Shinyanga), Ferdinand Chacha (Mwanza), Frank Komba (Dsm), Abdallah Selega (Dsm), Catherine Thobias (Dsm), Kudura Omary (Tanga), Hassan Zani (Arusha), Abdallah Uhako (Arusha), Kassim Mpanga (Dsm), Hussein Amiri (Mtwara), John Kanyenye (Mbeya), Charles Simon (Dodoma), Vicent Mabo (Morogoro), Godfrey Kihwili (Arusha), Michael Mkongwa (Njombe), Abdallah Rashid (Dsm), Shafii Mohamed (Dsm), Yusuf Sekile (Songea) Josephat Bulali (Tanga), Said Mnonga (Mtwara), Lulu Moshi (Dsm), Mirambo Tshikungu (Songea), Robert Luhemeja (Mwanza), Hellen Mduma (Dsm).

Joseph Majisa (Mwanza), Mashaka Mwandemba (Mbeya), Mohamed Mkono (Tanga), Gasper Ketto (Arusha), Martin Mwalyaje (Tabora), Ezekiel Mboyi (Shinyanga), Florentina Zabron (Dodoma) Agness Pantaleo (Arusha), Sophia Mtongoli (Mara), Yahaya Ally (Mara), Hussein Kalindo (Dsm), Rashid Zongo (Iringa), Janeth Balama (Iringa), Sylivester Mwanga (Kilimanjaro), Samwel Mpenzu (Arusha), Abdallah Mkomwa (Pwani), Abbas Omary (Mbeya), Grace Wamala (Kagera), Abdallah Shaka (Tabora), Anold Bugado (Singida), Halfan Sika (Pwani) na Joseph Pombe (Shinyanga)

WAAMUZI WA LIGI DARAJA LA KWANZA

Waamuzi wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL) walioteuliwa ni Elly Sasii (Dsm), Baraka Poka (Dsm), Kefa Kayombo (Mbeya), Innocent Mwalutamile (Dsm), Omary Yusuph (Dsm), Mwanahamis Matike (Dsm), Mustafa Lupenza (Njombe), Emmanuel Mwandembwa (Arusha), Ezekiel Mboyi (Shinyanga), Rajabu Jumanne (Dsm), Masoud Mkelemi (Dsm), Alphaxad Mtete (Songea), Benedict Magai (Mbeya), Alelick Ngonyani (Iringa), Selemani Kinugani (Morogoro), Ismail Manzi (Tanga), John Mafuru (Mbeya), Musa Maswaga (Dodoma), Brsyon Msuya (Dodoma), Nestory Chiga (Dsm), Isihaka Mwalile, Alfred Vitalis (Moshi), Rajab Mrope (Songea), Said Pambaleo (Dsm), Lwila Gilimbu (Mbeya), Sudi Hussein (Kigoma) Iddi Mkongoti (Dsm),

Augostino Mapalala (Geita), Jimmy Fanuel (Musoma), Ahmad Seif (Pwani), Salehe Mang’ola (Dodoma), Hassan Abdallah (Pwani), Nassoro Mwichui (Pwani), Ludovick Charles (Bukoba), Mbaraka Almasi (Mwanza), Hance Mabena (Tanga), Steven Makuka (Iringa), Maulid Mwikalo (Tabora), Livingstone Lwiza (Bukoba), Shomari Lawi (Kigoma), Mussa Magogo (Mwanza), Liston Hiari (Dsm), Erick Onoka (Arusha), Jafari Mchilla (Dsm), John Ngonyani (Morogoro), Msewa Rwambo (Morogoro), Said Issa (Singida), Klina Kabala (Dsm), Michael Mgaoli (Dsm), Mwabonile (Dsm), Seleman Kinugani (Morogoro), Ferydia Machunde (Tabora), Clement Ntambi (Mwanza), Thomas Mkombozi (Moshi), Said Ndege (Dsm) na Peter Mujaya (Mwanza).

WAAMUZI WASAIDIZI WA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL)

John Gabriel (Mbeya), Phileon Mboje (Mwanza), Emmanuel Muga (Morogoro), Dennis Maneva (Morogoro), Silvernus Ikune (Morogoro), Elly Shayo (Morogoro), Mrisho Bakari (Mbeya), Amdani Said (Dsm), Hamis Pondamali (Dsm), Abubakar Mikidadi (Dsm), Greyson Kadebe (Dsm), Abdulazizi Ally (Arusha), Enock Mwanyonga (Arusha), Said Mzuzuri (Pwani), Rajab Tozo (Pwani), Hussein Ameir (Mtwara), Ahmada Kidodi (Pwani), Msafiri Kitemi (Pwani), Abdul Islam (Dsm), Salum Njechele (Pwani), Hamis Cheyo (Songea),Nicholous Makaranga (Morogoro), Hamis Wangare (Dsm), Moshi Hamisi (Dsm), Msafiri Kitemi (Pwani), Mwarabu Mumba (Morogoro), Ephraim Mkumbukwa (Tanga), Agnes Alphonce (Dsm), Bahati Mapesi (Dsm), Kassim Safisha (Pwani), Nickson Haule (Pwani), Othman Othman (Pwani), Charles Mwamlima (Mbeya), Alex Thomas (Arusha).

Wengine  Fadhil Mtawwanya (Arusha), Mohamed Juwaji (Pwani), Farashuu Mohamed (Pwani), Omary Juma (Dodoma), Hashim Mgimba (Iringa), Hamidu Mkwimba (Iringa), Jumanne Njige (Mwanza), Justina Charles (Tabora), John William (Dodoma), Lwila Gilimbu (Mbeya), Iddy Mpingo (Pwani), Omary Matemela (Pwani), Elias Oliech (Mara), Makore Ntagenda (Mara), Samson Kobe (Dar), Nestory Livangala (Tabora), Rebeka Mulokozi (Shinyanga), Abdul Mwishehe (Dsm), Grayson Banyeza (Bukoba), Iganas Mwarabu (Mwanza), Geofrey Msakila (Geita), Daud Matwi (Tabora), Jafet Kasililwa (Sumbawanga), Jamada Amada (Kagera), Edga Lyomba (Kagera), Grayson Buchard (Kagera), Hamid Mohamed (Dar), Hamis Musa (Dar), Hussein Walii (Mtwara), Innocent Mwalutanire (Dar), Emmanuel Mamba (Dodoma), Daudi Bahiganyi (Kigoma), Ephrony Ndisa (Dsm).

Rodgers Amshangaa Dunga Wa Brazil
Stars Kuondoka Nchini Jumamosi