Zitto, Kubenea kitanzini, “Halima Mdee jisalimishe”, Jinsi Meja Jenerali alivyopigwa risasi akitoka benki, alipigwa risasi mkononi, kiunoni na tumboni, Rais Magufuli amjulia hali Hospitali ya Lugalo, Utata uvamizi ofisi nyingine ya Mawakili…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 13, 2017. Tazama video

LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Septemba 13, 2017
Messi aweka rekodi mpya