Zitto, Chedema watifuana tena, Mzozo huo unaweza kutumiwa na…, Serikali yalainika hoja Katiba mpya, Waziri asema sheria zimeanza kupitiwa kukamilisha mchakato, Pigo zito Madokta walioomba ajira nchini Kenya, Mahakama ‘yapiga stop’, Waziri Ummy afunguka…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 1, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Mahakama yapigilia msumari wa moto ajira za madaktari wa Tanzania nchini Kenya
Babu Tale adai akipata matatizo chanzo ni Shigongo, asimulia maongezi yao