Video: Ziara ya Rais Magufuli mkoani Ruvuma – Namtumbo
5 years agoComments Off on Video: Ziara ya Rais Magufuli mkoani Ruvuma – Namtumbo
Fuatilia hapa moja kwa moja yanayojiri mkoani Ruvuma katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akizindua mradi wa ujenzi wa Chuo cha VETA, Namtumbo.