Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amepokea msaada wa mali na vyakula kutoka kwa mfanyabiashara na mbunge kutoka Zanzibar, Mohammed Raza.

Amepokea msaada huo hii leo jijini Dar es salaam kutoka kwa mfanyabiashara huyo kwa ajili ya kugawa katika makundi mbalimbali yasiyojiweza.

“Mh. Raza umekuwa ukijitoa kwa muda mrefu kushirikiana na serikali katika kuwasaidia Watanzania, nikupe pongezi tu kwa yale unayoyafanya kuisaidia jamii,”amesema Majaliwa

 

Magazeti ya Tanzania leo Januari 26, 2018
Serikali yasitisha shughuli za wakala binafsi wa huduma za ajira waliokiuka sheria