Watu 13 wauawa Kibiti, Polisi yasema ni wahalifu, waliuawa kwenye majibizano ya siraha, Bill Gates amwaga mabilioni Tanzania, atoa shilingi 777 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini, Mwijage amjibu JPM kwa kuchukua viwanda kumi, DC na das wake wapelekana Polisi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 11, 2017. Tazama video

Matokeo ya uchaguzi Kenya kizungumkuti, tume yawashangaa wapinzani
Magazeti ya Tanzania leo Agosti 11, 2017