Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amewatahadharisha wananchi kuepuka kujiingiza katika mkumbo wa uhamasishaji wa maandamano yanayoratibiwa na vijana wa chama cha ACT Wazalendo pamoja na baadhi ya vyama vingine vya kisiasa ili kumshinikiza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kufuta azimio la bunge la kutofanya kazi na CAG Prof. Mussa Assad kwani kufanya hivyo watapigwa hadi watachakaa.
<

LIVE: Rais Magufuli akizindua kiwanda cha kuchakata Mahindi JKT - Ruvuma
Serikali kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki.

Comments

comments