Jeshi la polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, limewakamata wanawake wawili kwa tuhuma za  kushirikiana na wanaume kuiba pikipiki na limebanisha mbinu wanazodaiwa kuzitumia.

Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema kuwa wanawake hao hutumiwa kukodi pikipiki kisha kutekeleza uhalifu huo na kuzisafirisha kuelekea mikoani kwa ajili ya kuziuza.

Angalia video hii kuona na kusikia alichosema Kamanda Mambosasa:

Wananchi wajichukulia Sheria mikononi Njombe
Bungeni: Mkurugenzi NEC alivyojitenga na ufisadi wa mabilioni

Comments

comments