Wachoraji katika makao makuu ya Nchi Jijini Dodoma wameweka bayana matumaini yao katika mradi wa utambuzi wa wasanii wa sanaa za ufundi TACIP.

Hayo yamejiri baada ya mradi huo kuingia rasmi katika jiji la Dodoma, Tacip ni mradi ambao umelenga kuwasajili wa sanii wa sanaa za ufundi kama wachoraji, wachongaji vinyago, wasusi na wafinyanzi ili waweze kutambulika rasmi na kutatuliwa changamoto zao.

Mchekeshaji apata ushindi wa Urais Ukraine
Video: Serikali yaweka bayana wakulima watakao anza kusajiliwa, vijana wajiajiri kwenye kilimo

Comments

comments