Tazama baadhi ya wafanyakazi wa saloon za kike na za kiume, vinyozi na wasusi nchini Tanzania wakitoa mawazo yao juu ya kupata elimu na mafunzo ya kazi yao, kwa kusomea darasani ambapo wengi wanafanya kazi hiyo kwa kutumia uzoefu na vipaji vyao.

Lakini tayari Serikali imeanzisha mradi wa kuwasajili kwani wao pia ni wasanii wa sanaa za ufundi hivyo wanasajiliwa kwenye mradi wa utambuzi wa wasanii wa sanaa za ufundi TACIP, ambapo watapata vitambulisho na manufaa kemkem…, Bofya hapa kutazama.

Iran yakanusha kuhusika na milipuko ya Meli za mafuta
Asilimia 76 ya ajali za barabarani chazo ni Ulevi na Uzembe

Comments

comments