Muungano wa vyama vya upinzani (UKAWA), umedaiwa kuwa ulifanya kosa la kihistoria katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, baada ya kumchagua Edward Lowasa kuwa mgombea wao, ambaye walikuwa wakimtuhumu kwa kosa la ufisadi alipokuwa CCM.

Hayo yamebainishwa na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Maggid Mjengwa, alipo zungumza na Dar 24, na kusisitiza kuwa kosa hilo ni funzo zuri kwa upinzani

Aidha amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM), ndicho kinachonufaika kwa sasa kutokana na migogoro waliyonayo baadhi ya vyama vya upinzani…,Bofya hapa kujua msimamo wa vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020.

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Machi 24, 2019
Watu 60 wafariki dunia nchini Ghana