Baada ya kuwa kimya kwa muda Rapa Micheal Ray Stevenson, maarufu kama Tyga ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘My way’.

Tyga ambaye hivi karibuni ameachana na mpezi wake Kylie Jenner amekuwa katika misukosuko ya mahusiano na mwaka jana alishtakiwa kwa kushindwa kulipa pesa ya kukodisha gari aina ya Ferrari. Rapa huyo ameachia video hiyo mpya ikiwa imetoka chini ya lebo yake ya  Last Kings Music.

Tazama video hiyo hapa chini;

Mpina atoa maagizo kiwanda cha Azania
Msigwa amvaa Musukuma, amtaka aache kulalamika