Msimu mpya wa kipindi cha Penyenye za kitaa, umeanza rasmi januari 16, ambapo mtangazaji wetu Dupa atakuwa mtaani kuchangamsha bongo za watu.

Swali la wiki hii ni Je Twiga katika nembo ya taifa anawakilisha nini tazama hapa majibu ya watu.

Serikali yaagiza Chuo cha Diplomasia kutoa elimu ya vitendo
Tamko la TCRA siku nne kabla ya kufunga laini zisizosajiliwa

Comments

comments