Tundu Lissu: Nimetolewa risasi nyingine mwilini, Wabunge 11 wasota kizimbani, Msigwa apandishwa kwa tuhuma za kuchoma nyumba aliyokuwa akiishi Katibu wa UVCCM, Shule iliyojengwa kwa tope yabomolewa, wanafunzi sasa wasomea chini ya miti, Maagizo ya Majaliwa yazidi kutikisa Mara…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Januari 25, 2018

Mnangagwa aahidi kumtunza Mugabe
Daktari atupwa jela maisha