Neno CHARACTERISTIC kwa mujibu wa kamusi ya Kingereza ya Oxford linamaanisha ‘sifa’ inaweza kuwa sifa za mtu, kitu au sehemu.

Ni rahisi kutamka neno sifa, mtaani wanatamkaje neno ‘Characteristic’ hapa chini nimekuwekea video ikionesha magumu waliopitia watu mbalimbali katika kutamka neno hilo.

Lakini mbali na neno Characteristic, asilimia kubwa ya watu wanamiliki simu hivyo neno Missed Call sio neno geni kwa yeyote ambaye amewahi kumiliki simu kwani ni neno linalotokea pale ambapo umepigiwa simu kwa sababu mablimbali ukashindwa kupokea simu hiyo basi neno Missed Call lazima ukutane nalo kwenye kioo cha simu yako.

Je mtaani wanafamu maana ya neno hilo?.

Tazama hapa.

Mchezaji mkongwe aponda uamuzi wa Man United kuhusu Solskjaer
Mrithi wa Nassari ameahidi makubwa Arumeru

Comments

comments