Simanzi yatawala mazishi aliyechomwa na mume wake, Dar yazizima SADC, Tanzania yalaani mauaji Marekani, CCM yatosa wananchi ‘kisayansi’, CUF yalia na katazo mikutano ya kisiasa, Walimu wamwomba JPM kuumaliza mgogoro wao, Msumari wa mwisho milioni 50 kila kijiji, Simba yaahidi maajabu ya mwaka kesho…, Bofya hapa kujua Habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya leo Jumatatu Agosti 5, 2019.

LIVE: Rais Magufuli katika ufunguzi wa maonyesho ya wiki ya nne ya Viwanda SADC
Watafiti watakiwa kuzingatia viwango vya ukusanyaji wa Takwimu