Serikali ya Tanzania imezindua muongozo wa kitaifa wa tiba ya magonjwa ya saratani utakaoziwezesha hospitali za serikali na binafsi katika kutoa matibabu kwa usawa na kurahisisha mawasiliano kati ya madaktari bingwa na wataalamu wengine.

Muongozo huo uliozinduliwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kumefuatia baada ya hospitali za kanda kuanza kutoa tiba za saratani na kuongezeka kwa hospitali binafsi na za umma zinazotibu ugonjwa huo.

Waziri Ummy amesema pia utawezesha kutoa muongozo kwa mfuko wa taifa wa bima ya afya NHIF kuhusu dawa na vipimo mbalimbali stahiki kwa wagonjwa wa saratani…., Bofya hapa kutazama

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=tOZH5de032g]

RC alizwa na maiti za vichanga wakati wa kuaga miili ya waumini 20 Moshi
Mbowe amuandikia barua Magufuli kufuta matokeo ya uchaguzi Serikali za mitaa