Serikali yavunja ukimya suala la Tundu Lissu, yasema ipo tayari kugharamia matibabu popote yatahadharisha kuhusu harakati za kumchungia, Uchaguzi wa Rais Kenya wapigwa kalenda,  Zitto ashusha nyundo 10  kamati ya Bunge Kenya, Mbaroni akidaiwa kumchinja mumewe, Kiama zaidi vyeti feki…Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 22, 2017. Tazama video.

Wenye vyeti feki kurejesha mishahara waliyolipwa
Kiungo wa Chelsea apata ajali