Serikali yajibu mapigo, yawapasha wanasiasa wanaohujumu maendeleo, Wingu zito eneo alikouawa kimafia kinara wa ujangili, Acacia wafunguka kesi kuidai Serikali, ni ile waliyohusishwa na madai ya kutaka trilioni 4/- kisa makinikia, yasisitiza Bombardier Q 400 kutua karibuni…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 20, 2017. Tazama video

Msimamizi wa uchaguzi akutwa ameuawa nchini Kenya
Waalimu wa kiume matatani Njombe