Wakala wa Usajili na Ufilisi RITA wamesajili mfumo mpya wa vizazi na vifo ili kuwarahishia wananchi kupata taarifa.

Hayo yamesema mapema hii leo jijini Dar es salaam na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Rita, Emmy Hudson alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Amesema kuwa mfumo huo utaboresha na kurahisisha upatikanaji wa taarifa kwa wananchi pamoja taasisi mbalimbali za serikali.

Hata  hivyo, ameongeza kuwa taarifa hizo zitakuwa zinapatikana kwa wakati, hivyo utaimarisha mifumo mbalimbali ya serikali.

LIVE BREAKING: Kenyatta atangazwa mshindi wa urais Kenya
Video: Rais wa Misri kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili