Jeshi la Polisi Jijini Dodoma likiongozwa na Kamanda wake, Gilles Muroto limendelea na operesheni ya kusaka na kuwakamata wahalifu mbalimbali ambapo miongoni mwa waliokamatwa ni pamoja na Polisi feki, vibaka na wavunjaji wa nyumba pamoja na wahamiaji haramu ambao wanadaiwa kuingia nchini bila vibali maalum.

 

 

Video: Fedha za ruzuku za Chadema hutafunwa na akina Mbowe, Lema na Mdee- Msukuma
Ashikiliwa na Jeshi Polisi kwa tuhuma za kumkaba mama yake mzazi