Nyuma ya pazia kifo cha Masogange, JPM amtolea uvivu Zitto, …mambo yawekwa hadharani bungeni, Afrika Kusini kwachafuka, Rais akatisha ziara Uingereza, Makonda atangaza msako watu waliotelekeza watoto…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Aprili 21, 2018.

Korea Kaskazini yatangaza kuachana na makombora ya nyuklia
Wanafunzi chuo kikuu walishwa kinyesi na mkojo