Wakala wa Afya na usalama mahali pa kazi (OSHA), taasisi ya umma iliyopewa jukumu la kulinda afya  na usalama wa mfanyakazi wamesema kuwa ni wajibu wa mwajiri na mwajiriwa kulinda usalama mahali pa kazi tofauti na jamii ilivyojijengea kuwa ni wajibu wa mwajiri pekee.

Akizungumza na Dar 24, afisa mahusiano wa OSHA, Eleuter Mbilinyi amesema kuwa licha ya kuwa mwajiri anatakiwa kununua vifaa vya usalama, mwajiliwa ananafasi kubwa ya kuhakikisha anafuata sheria zote za usalama mahali pa kazi…, Bofya hapa kutazama

Mambo matatu muhimu yatajwa katika miaka mitano ya M-Pawa
Video: Fahamu njia rahisi ya kuwa salama mahali pa kazi