Massage au kusingwa mwili ni ukandaji wa mwili, ni moja ya huduma muhimu ambayo kila binadamu anahitaji kufanya kwa angalau mara mbili kwa mwezi.

Ni njia bora na muhimu sana inayomsaidia binadamu kuomdoa sumu mwilini na kurutubisha mwili wake.

Mtaalamu wa Massage, Happiness Charles Mtuya amefafanua kinagaubaga juu ya kwa nini mwili unahitaji kufanyiwa massage.

Mohamed Morsi azikwa nchini Misri
LIVE: Hafla ya kutambulisha tuzo ya 'SERENGETI' kuwa hifadhi bora barani Afrika

Comments

comments