Licha ya kuwa sheria ya Tanzania inampa haki na uhalali mwanamke kumiliki ardhi kwa kurithi au kununua bado jamii inayomzunguka imeendelea kuwa kikwazo hasa katika umiliki wa ardhi ya kurithi,  Chama cha waandishi wa habari wanawake kwa kushirikiana na vyama mbalimbali vinavyotetea haki ya mwanamke wameungana katika kuanzisha kampeni ya linda Aridhi ya mwanamke itakayosaidia kumuondoa mwananmke katika kifungo cha kutomilikishwa ardhi…, Bofya hapa kutazama.

Video: CCM ilivyojipatia ushindi kabla ya sanduku la kura, Dawa tatu zapigwa marufuku
Waziri Hasunga apigilia msumari bei za vyakula kuendelea kupanda

Comments

comments