Mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kinondoni, Mtulia Maulid Said amerejesha fomu na kuahidi kufanya makubwa,

Ameyasema hayo hii leo mara baada ya kurejesha fomu, ambapo amewaahidi wananchi wa Jimbo la Kinondoni kuwa hawezi kuwaangusha.

Aidha, Mtulia ameishukuru Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na wanachama kwa ujumla kwa kumteua na kumuamini kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo hilo.

 

Video: Safari hii hatutakuwa wa kulialia- Chadema
Kunguni watikisa ndege za Uingereza, Ghana yaonya kuzifungia