Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira na Muungano, January Makamba amezungumza rasmi juu ya suala la katazo la matumizi ya mifuko ya Plastiki mara tu ifikapo Juni 1 mwaka huu.

Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma amesema tayari njia mbadala ya mifuko ya plastiki imepatikana hivyo wananchi wajiandae kwenda na kasi hiyo.

Amesema kuwa kuna njia tatu ambazo zitatumika kama mbadala wa mifuko ya plastiki, Bofya hapa kumsikiliza waziri Makamba akitaja mbadala wa mifuko ya plastiki.

Video: Mbunge Kenani: Vijana wanajiona laana kwa kukosa ajira
Homa ya Dengue yazuka Dar, Tanga

Comments

comments