MBOWE: Waumini wasali nyumbani , MAGUFULI afanya uamuizi mgumu kukabili CORONA, Majaliwa aunda kamati tatu kukabiliana na Coorona,Mdee, Bulaya wafuasi 15 wapandishwa kizimbani, Kenya yajipanga kutumia bandari za Tanzania , Ajali ya Trani ilivyoua wafanyakazi watano, Siri ya Komradi Mangula siri nzito, CHADEMA yasitisha mikutano iliyotangaza kuikabili Korona, Wazushi kuhusu Corona wadakwa,…Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya leo Jumanne Machi 24,2020.

Zanzibar: Wananchi 65 wawekwa karantini wakiwemo vigogo wa serikali
Adam Juma afunguka uhusiano wake na Diamond, alivyoumizwa na msanii hadi kuacha kazi ya video

Comments

comments