Kamishna mtendaji wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Msafiri Mbibo  ameeleza mafanikio waliyo yapata kutokana na msukumo wa serikali ya awamu ya tano na kuendelea kuboresha mikakati ya kuimarisha ukusanyaji wa mapato.

Amesisitiza kuwa serikali imesikiliza kilio cha walipa kodi na wananchi kwa ujumla hivyo serikali inafanyia kazi mapendekezo mbalimbali yaliyotolewa na wananchi…, Bofya hapa kutazama

Video: Jafo amaliza mchezo serikali za mitaa, Msako TRA nyumba kwa nyumba
Arsena kumkosa Xhaka, Modric kutua Inter

Comments

comments