Makonda ‘kizimbani Kamati ya Bunge, Lissu amwandikia barua Rais Magufuli, Mwakyembe kurekebisha ripoti aliyoiacha Nape, Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 30, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Mwenyekiti wa CCM tawi la Mparange afariki kwa kupigwa risasi
Taarifa Ya Zuio La CAF Kuhusu Mechi Ya Yanga Kuchezwa Uwanja Wa CCM Kirumba

Comments

comments