Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema kuwa Walimu wanastahiri pongezi kubwa kwa kazi muhimu wanayoifanya.

Ameyasema hii leo wakati wa uzinduzi wa ofisi za Walimu, ambapo amesema kuwa Walimu wanafanya kazi kubwa ya kuwapika wanafunzi.

Amesema kuwa Walimu wanawapokea watoto wakiwa hawajui lolote, lakini mwisho wa siku wanafundishwa kila kitu, hivyo hayo ni matunda ya walimu.

“Mpishi ndio kila kitu, mpishi ndiye anayejua vipimo vyote, aweke chumvi kiasi gani, mafuta kiasi gani, hivyo mpishi nibora kuliko hata mlaji,”amesema Makonda

Rais Kenyatta ‘awatuliza’ wanawake
Video: Dkt. Ndugulile ahimiza mapambano dhidi ya Ukoma