Baada ya nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, kusajiliwa na timu ya Aston Villa ya nchini Uingereza, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda afunguka mazito kuhusu Samatta kutua katika timu hiyo huku Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) likitoa nasaha zake pia.

Angalia video hii kupata undani wa habari hii:

Virusi vya ugonjwa uliolipuka China vyazua hofu kusambaa duniani, WHO kukutana kwa dharura
Mtoto auawa kikatili mwili wake wakutwa jumba bovu

Comments

comments