Imekuwa vigumu sana kwa watu wengi siku za leo kujua nini imani ndiyo na nini imani siyo na kwa sababu hiyo wengi wamekuwa wakidhani kuwa wana imani na kumbe hawana imani.

Katika vitabu vya Mungu vimeainisha kuwa imani ni kuwa na uthibitisho wa mambo yatarajiwayo, na ni kuwa na ushahidi halisi wa mambo yasiyoonekana, yaani kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Hata hivyo siku hizi yametokea makanisa mengi yenye imani tofauti tofauti na makanisa hayo yamekuwa na waumini wengi ambao wana kutana na changamoto mbalimbali ambazo wanahitaji kuzitatua kupitia wachungaji na watumishi wa Mungu ambao wanaamini wanaweza kusaidia kutatua shida zao.

Leo katika zaidi nimekuletea makanisa 5 yenye imani za kustaajabisha zaidi duniani, Tazama hapa.

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 15, 2018
Video: Serikali yaokoa milioni 600 kupeleka wagonjwa wa moyo nje ya nchi

Comments

comments