Zoezi la umwagaji dawa katika maeneo ya Jiji la Dar es Salaam limeanza mara baada ya agizo la Mkuu wa mkoa huo Poul Mkonda katika ziara yake ambapo aliwataka waatalamu wa afya kwa kushirikiana na Zimamoto kunyunyiza dawa kwenye mitaa kwaajili ya kupambana na virusi vya Corona.

Aidha Mganga mkuu Rashid Mfaume amesema kuwa unyunyiziaji wa dawa hauangalii tu Corona katika maisha ya binadamu magonjwa mengine yapo hivyo mkakati wa mkoa ni kuthibiti pia hayo magonjwa mengine… Bofya hapa kutazama.

Video: Ripoti ya CAG yamtesa kangi, Prof. Lipumba,Majaliwa azipa kazi kamati za maafa
Waziri mkuu wa Uingereza athibitisha kuwa na Corona

Comments

comments