Mafundi seremala wanaofanya kazi Manzese mtaa wa Sisi kwa sisi wamepata mkombozi wa changamoto walizokuwa nazo katika kazi yao hasa wanaotengeneza Majeneza.

Ukombozi huo ni baada ya kujisajili na mradi wa utambuzi wa wasanii wa sanaa za ufundi Tacip, ambao umelenga kuwatambua na kutatua changamoto za wasanii.

katika usajili unaoenndelea Mtaa kwa Mtaa , Jijini Dar es salaam, ulipowafikia wasanii hao wa Manzese wameupokea kwa furaha na kueleza matarajio yao katika ukombozi wa changamoto walizonazo.

Rais akabidhi kitita kwa mchezaji mkongwe wa kandanda timu ya Taifa 'Peter Tino'
Video: Jibu la Rais Magufuli kuhusu kuifanya leo kuwa siku ya mapumziko

Comments

comments