Lowassa achekelea, ni kutokana na ushindi wa Uhuru Kenyatta dhidi ya mpinzania wake Raila Odinga katika uchaguzi mkuu Kenya, Waziri akwepa kutumbuliwa, Acacia yamwaga neema wahitimu vyuo vikuu, Reli nyingine ya kisasa kujengwa, itaanza katikati ya jiji mpaka JNIA…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 12, 2017. Tazama video

Madiwani waliohama Chadema wazidi kumpasua kichwa Mbowe
Wakazi wa Kata ya Mabilioni hatarini kupata maambukizi

Comments

comments