Jaji Mkuu atoa onyo kwa viongozi Serikalini, awaagiza majaji, mahakimu kuwa wakali watu wakiingia kwenye anga zao, asema siasa haimpi mtu nguvu, sheria ndiyo inatoa nguvu, Agizo la elimu bure lazua kizaazaa Tabora, wazazi wagawana fedha, chakula baada ya agizo la kuzuia michango shuleni…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Januari 24, 2018

Aslay amwandikia marehemu mama yake ''Sikufaidika na nilichokifanya kwa miaka 15''
Daktari atoa ripoti ya ukichaa wa ‘nabii Tito’