Uzalendo ni hali ya kuipenda na kuitetea nchi yako kwa hali na mali lakini suala la pesa ni suala nyeti sana ndio maana kila siku watu hutafuta kazi zinazoweza kuwapatia kipato kikubwa sio rahisi mfanyakazi kuomba kupunguziwa mshahara wake kwa lengo la kuisadia kampuni kiuchuni na watu wengi wamekuwa wakitafuta kazi katika makumpuni yanayoweza kuwapatia kipato kikubwa ili waweze kumudu mahitaji yao na ya familia zao

Hali hii imekuwa tofauti sana kwa marais hawa ambao wameonesha uzalendo wa hali ya juu katika nchi zao, pamoja na majukumu na madaraka makubwa walionayo katika nchi zao.

Leo kwenye kipindi cha Zaidi nimekuandalia marais watano waliojipunguzia mishahara yao kwa lengo la kusaidia nchi zao kukua kiuchumi.

Tazama hapa.

Kipindupindu chapindua mpango wa wapinzani kujiapisha ‘Urais’
Kubenea amkana Waitara, apiga teke barua ya kujiuzulu

Comments

comments