Leo Septemba 16, 2016Â Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Nne wa Bunge ambapo katika hotuba hiyo amezungumzia mambo makuu 10 ambayo ni;
- Tukio la janga la tetemeko la ardhi lililotokea katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa,
- Mwendendo na mwelekeo wa hali ya uchumi,
- Mwenendo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa mwezi Julai na Agosti 2016,
- Mpango wa Serikali wa kuhamia Dodoma,
- Ratiba ya Serikali kuhamia Dodoma,
- Sekta ya kilimo,
- Sekta ya ushirika,
- Sekta ya elimu, Uhakiki wa vyeti vya Watumishi,
- Jitihada za Serikali kuimarisha usafiri wa anga,
- Hali ya amani na utulivu nchini
Tazama hapa video