Hoja ya Nape yamliza Waziri kama mtoto, Kiama waliotajwa mali za CCM kuanza Jumatatu, TRA yaja na mfumo mpya wakwepa kodi, Faini bodaboda kushushwa julai, Ukuta Mirerani wasomba kigogo, Kupigwa Askofu KKKT kwaibua mambo mapya, Watano waliopata masamaha wa JPM wauawa na wananchi, Serikali yaitengea Stiegler George Bil.700, Majaliwa aagiza majiji yafungwe kamera za CCTV…,Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika magazeti ya leo Mei 25, 2018.

Mane akumbuka kijijini kwao akijiandaa kuiua Madrid
JPM awapa shavu Makongoro Nyerere, Mizengo Pinda