Mkuu wa Jeshi la polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema waliomteka mfanyabiashara Mo Dewji, walikuwa na silaha moja ya kivita na pisto 3, ambapo silaha hiyo ya AK 47 ilikuwa na risasi 19 ni  silaha ya kivita iko vizuri na inapiga.
Tazama hapa akionesha silaha za moto zilizotumika na watekaji hao.