Hasira tano za Lowassa kwa Serikali, CCM, ni kuhusu kongamano, vyeti feki, bei ya vyakula, mafuriko na vifo vya wanafunzi,Waziri amtaka Kitwanga ahame chama, Vitabu ‘feki’ shuleni vyaichefua Serikali, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 14, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama.

MO aitaka Simba kurudisha fedha zake, adai wamekiuka makubaliano
Meya wa Jiji la Dar ataka wanawake waungwe mkono

Comments

comments