Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeeleza mafanikio waliyoipata kwa muda wa miaka minne chini ya uongozi wa awamu ya tano wa Rais John Pombe Magufuli katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

Imeelezwa kuwa hadi kufika sasa hakuna mwanamke anayejifungilia chini kumekuwa na ongezeko la maabara, vitanda, madaktari pamoja na ongezeko la vifaa vya kufanyia vipimo mbalimbali kama vile  CT scan na MRA. Pia wameokoa mamilioni ya gharama za watu kwenda kutibiwa nje ya nchi.

Mmarekani mweusi wa kwanza kuwekewa uso bandia

Hayo yamesemwa hii leoNovemba 19 na mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru Jijini Dar Es Salaam wakati akizunguma na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere.

Aidha amesema kuwa hospitali hii inatoa huduma hadi kwa wagonjwa kutoka nchi jirani kamavile Rwanda kutokana na vifaa hivyo vipya…, Bofya hapa kutazama.

TECMN yaipongeza Mahakama ya rufani Tanzania
Wasiolima mazao ya biashara Njombe kuswekwa lumande

Comments

comments