Watu wengi hupendelea kufanya mapumziko fukweni hasa siku za mwishoni mwa wiki, zipo ‘beach’ nzuri na za gharama zaidi, lakini pia zipo ‘beach’ hatari zilizoripotiwa hapa duniani kwa kupoteza maisha ya watu wengi hivyo imeshauriwa kutokanyagwa beach hizo kutokana na kuhatarisha maishaya watu kwani kukanyaga ‘beach’ hiyo inaweza kusababishia kupoteza maisha au kilema cha milele.

Katika ulimwengu kuna vitu vizuri, vya ajabu na vya kushangaza, tazama hapa chini sababu ya marufuku kukanyaga katika ‘beach’ hizi.

'Drone' kuanza kutumika kusambaza dawa kwa wagonjwa majumbani
Video: Zaiid akumbushia Gigy Money alivyomchongea BASATA